| Askofu Mkuu akimimina mafuta ya Krisma juu ya Altare |
| Askofu Mkuu Josaphat LEBULU akipakaa Altare kwa mafuta |
| Askofu Mkuu Josaphat LEBULU akiendelea kuipaka Altare kwa mafuta ya Krisma |
| Mapadre wakipaka kuta za kanisa kwa mafuta ya Krisma |
| Askofu MkuuJosaphat LEBULU akiweka ubani kwenye chombo chenye makaa ya moto juu ya Altare |
| Askofu Mkuu Jisaphat LEBU akiweka Hostia Takatifu kwenye Tabernakulo baada ya kuibariki |
| Ndugu Gabriel Mkude akipiga kinanda kwa ustadi mkubwa kwenye adhimisho la kutabaruku Kanisa la Mt. Fransisko Ksaveri |
| Wanakwaya wa kwaya ya Mt. Sesilia toka Parokia ya Mt. Terersia wa Mtoto YESU wakiwa pamoja na wakanakwaya wa Kwaya ya Mt. Kizito (Olosipa) wakiimba kwenye adhimisho hilo. |
Post a Comment