Askofu Mkuu akimimina mafuta ya Krisma juu ya Altare |
Askofu Mkuu Josaphat LEBULU akipakaa Altare kwa mafuta |
Askofu Mkuu Josaphat LEBULU akiendelea kuipaka Altare kwa mafuta ya Krisma |
Mapadre wakipaka kuta za kanisa kwa mafuta ya Krisma |
Askofu MkuuJosaphat LEBULU akiweka ubani kwenye chombo chenye makaa ya moto juu ya Altare |
Askofu Mkuu Jisaphat LEBU akiweka Hostia Takatifu kwenye Tabernakulo baada ya kuibariki |
Ndugu Gabriel Mkude akipiga kinanda kwa ustadi mkubwa kwenye adhimisho la kutabaruku Kanisa la Mt. Fransisko Ksaveri |
Wanakwaya wa kwaya ya Mt. Sesilia toka Parokia ya Mt. Terersia wa Mtoto YESU wakiwa pamoja na wakanakwaya wa Kwaya ya Mt. Kizito (Olosipa) wakiimba kwenye adhimisho hilo. |
Post a Comment