Toka kushoto: Vicky Bishubo (Mweka hazina), Editha Temu (Katibu), Livingstone Nguma (Katibu Msaidizi), Nestory Mamiro (Mwenyekiti), Donovan Mwanga (Mwenyekiti Msaidizi), Doroth Kileo (Mweka hazina msaidizi)
Viongozi wakisimikwa rasmi 13-03-2012 na Paroko Pd. Rochus Mkoba


Viongozi wakipewa mishumaa alama ya kuwa mwanga kati uongozi wao na kuahidi kumfuata KRISTO aliye mwanga wa kweli.

Post a Comment

 
Top